Sikiliza Hekima na Busara za Riziki Shahari na Zitto Kabwe Bungeni
Mbunge wa Viti Maalum CUF, Riziki Shahari, ametema cheche bungeni kuhusu
kuwasilishwa kwa muswada wa mabadiliko ya sheria za maliasili,
akilalamika kwamba uamuzi wa mheshimiwa rais wa kuwasilisha muswada huo
bungeni kwa hati ya dharura, haupo sahihi kwa sababu muda uliotolewa
kujadili ni mfupi.
Mbunge huyo aliendelea kuhoji, iweje nchi ambayo ina wasomi, wanasheria
na wataalamu, ikubali kupumbazwa na wajanja wachache kwa kutumia
mikataba ambayo imepitishwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

BREAKING NEWS: Watoto 3 Wafariki kwa Mlipuko wa Bomu Arusha
Kutokea katika hosipitali ya wilaya ya Monduli mkoani Arusha, taarifa za kufariki dunia kwa watoto watatu (3) waliofariki dunia kwa kulipukiwa na bomu zimethibitishwa na daktari aliyekuwa zamu na kueleza kuwa miili ya watoto hao imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hosipitalini hapo na taratibu za maziko zinaendelea
BREAKING NEWS: Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Yateketea kwa Moto
Katika hali ya kushangaza nyumba ya mbunge wa kigoma mheshimiwa zitto zuberi kabwe yawaka moto.inasemekana chanzo chatukio hilo bado halija julikana.nikuombe mpenzi msomaji wa blog hii.
Subscribe to:
Posts (Atom)