"HII SERIKALI NI YA KUKURUPUKATU" -MBUNGE MSIGWA




kama kawaida kwanguleo inakuletea taarifa za haraka zinazotokea.
mbunge wa iringa mjini mheshimiwa msigwa amesema serikali ya awamu ya tano ini serikali ya kukurupuka kwani inaleta itifaki siku moja kabla ya uwasilishwaji wa itifaki hizo hivyo kufanya itifaki hizo zisieleweke vizuri kwa wabunge hao.akiendelea kusema kuwa hati za zaruraru ni yale ambayo hatujajifunza kutoka kwa yale yaliojiri nyuma hivyo tunatakiwa tujifunza na tubadili kwa ajili ya mambo mapya yajayo.nakuomba jisajili kwanye nafasi iliyopo juu kwa habar za kila muda ziwezi kuuingia kwenye kifaa chako kwa haraka zaidi pia nakuomba tembelea facebook page ya kwanguleo follow na like kwa uharaka zaid



No comments: