Msanii wa Bongo Movie afungua kanisa lake DSM

kama kawaida ya kwanguleoblogspot inakuletea taarifa zinazojiri kila mara katika mambo ya siasa,michezo ,makala na mambo yanayohusiana na afya.ili uweeze kuwa mmoja wa watu wanaofikiwa kwa uharaka na habari hizo unachotakiwa kufanya ni kutembelea ukurasa wa facebook wa kwanguleo.pamoja na kujisajili kwenye ubao uliopo juu ya ukurasa wa kwanguleo.
muigizaji wa movie nyingi za kibongo ambaye anajulikana kama pastor mnyamba wiki hii amezindua kanisa lake kwani ilikuwani ndoto aliyonayo kwa muda wa miaka kumi hatimaye ndoto yake imetimia.akiongea na kituo cha ayo tv anasema amekuwa kama muigizaji ambaye alikuwa anaelezea neno la mungu kwa kutumia sanaa ambayo mungu amempa

No comments: