breaking news:miaka 21 ya kuzama kwa meli ya mv bukoba

Japo ilikuwa ni huzuni sana kwa watanzania walio wengi,sio rahisi mtu kusahau hali ilivyokuwa muda ule ambao mtu anapokea taarifa haza za kusikitisha sana.ndivyo ilivyokuwa wakati ule wa kuzama kwa meli iliyokuwa natuma kubwa kwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa kwani ndio ilikuwa usafiri mkubwa wa wakazi hasa wa kanda hiyo ya mwanzo.kwa pamoja tuungane na wakazi wa kanda hii ili tuwatie moyo katika kipindi hichi kigumu.Mungu azilaze roho za marehemu amina.

No comments: