Mbunge upinzani ampongeza RAIS

Siku moja baada ya JPM kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na
Madini Prof. Sospeter Muhongo baada ya kupokea ripoti ya Kamati Maalum
iliyochunguza Makontena ya mchanga, Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha
Nachuma, CUF leo May 25, 2017 amelieleza Bunge kuwa Rais amefanya
kitendo cha kishujaa kutengua uteuzi huo akisema anapaswa kuungwa mkono.

No comments: