updates:kauli ya maimamu kuhusu kuuwa kwa mwenzao

Maimamu wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, wametoa tamko la kuliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Tume itakayowahusisha viongozi na wataalamu kuchunguza vifo mbalimbali vilivyotokea katika mazingira ya kutatanisha.viongozi hao wamesema kuwa wanaliomba bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kutafuta njia nyingine ya kufanya ii kuweza kumpata muuwaji wa imamu mwenzao

No comments: