Watanzania watatu watajwa Jarida la Forbes Under 30 Africa

Kila mwaka Jarida maarufu la Forbes ambalo hufuatilia maisha ya watu maarufu duniani na kutoa takwimu mbalimbali zikiwepo watu wanaoingiza pesa nyingi zaidi duniani, mastaa wanaoongoza kwa malipo ama wajasiriamali wa kutazamiwa.

Mwezi huu Forbes Africa limetoa list ya Wajasiriamali waafrika 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wamefanya mabadiliko makubwa kwenye sekta zao na wanafanya vizuri kama wafanyabiashara wenye umri mdogo. Mrembo Jokate Mwegelo, Lavie Makeup na Godfrey Magila wametajwa kwenye jarida hilo kama wajasiriamali wakutazamwa.

No comments: