UPDATES;Baraka The Prince aeleza sababu za kutoukubali wimbo wa Ben Pol

Baada ya Mwimbaji wa R&B Ben Pol kuachia wimbo mpya ‘Tatu’
akimshirikisha Darassa, wimbo huo umepokelewa kwa hisia tofauti na watu
mbalimbali hasa baada ya picha za staa huyo alizopiga akiwa bila nguo
kuwa gumzo mitandaoni zikidaiwa kuwa ni promo kwa ajili ya ujio wa wimbo
huo

No comments: