UPDATE:Tanzania inapoteza miti laki 9 kwa mwaka"JANUARY MAKAMBA"

EWaziri wa katiba na sheria mheshimiwa january makamba asema Tanzania yapotea kiasi cha miti 2500 kwa siku ambayo kwa hesabu ya mwaka ni miti laki 9 kwa mwaka.Asema hayo kwenye kilele cha kupanda miti dunia  ambayo ilikuwa inafanyika kitaifa tabora pia.Mheshimiwa makamba asema wanatazamia kutengeneza sera mpya ya utunzaji wa mazingira

No comments: