Wabunge upinzani wamshangilia Mbunge wa CCM Bungeni

Mkutano wa Saba wa Bunge umeendelea tena Dodoma ambapo May 30, 2017 ilikuwa siku ambayo Wabunge walikuwa wanawasilisha maoni yao katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma ‘CCM’ ambaye aliikosoa Bajeti ya Wizara hiyo akiomba ifanyiwe marekebisho.

No comments: