Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan.

No comments: