updates: Serengeti Boys Wawasili nyumbani

Hatimaye timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, #Serengeti Boys, imewasili nchini kutokea Libreville, Gabon ilikokuwa ikishiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kufungwa 1-0 na Niger.walipowasili katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu julius kambarage nyerere ambao walipokelewa na waziri wa habari na michezo mheshimiwa harrison mwakymbe

No comments: