Wabunge wapingwa kuhusu wanafunzi wanaopewa mimba

Mtandao wa kutokomeza ndoa za utotoni Tanzania 'TECMN' umesikitishwa na kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunga mkono hoja ya kutowapa nafasi ya kuendelea na masomo wanafunzi wa kike waliopata ujauzito wakiwa shuleni baada ya kujifungua.

No comments: