breaking news:mvua yakatisha mchuono wa mziki kati ya sikinde na msongo

Kama wewe ni mpenzi wa mziki basi huwezi kusahau jinsi mchuano wa mziki uliokuwepo zamani kati ya sikinde ngoma ya ukae pamoja na msondo ngoma baba ya mziki.kipindi hicho bendi ya msongo ilikuwa ikiongozwa na Tx moshi pamoja na mzee ngurumo.ila hali ilikuwa mbaya  kwa siku ya jana kwani mvua ilihalibu mchuano ambao ulikuwa unatakiwa ufanyike kati yabendi hizi mbili

No comments: