FULL VIDEO: Alivyopokelewa Rayvanny kutoka Marekani



kama kawaida kwanguleo inakuletea taarifa zinazoendelea kujiri kila muda.
mwanamziki anayetokea kwenye lebo ya wassafi classic Rayvanny baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius kambarage nyerere alipata mapokezi makubwa sana kutoka kwa mashabiki wake pamoja na bosi wake msanii  diamond platinum.shamrashamra za mapokezi zilianzia kwenye sehemu ya mapokezi kwani watuwalikuwa ni wengi kupita ilivyotarajiwa

No comments: