CHADEMA WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Leo hii chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) wamekutana na waandishi wa habari kuzungumzia hali inayoendelea kwenyetaifa hasa ya uvunjaji wa sheria.msemaji wa chama hicho pia aliiwatakia wanafunzi wanaelekea kwenye mtihani wao wa mwisho wa elimu ya msingi.pia msemaji huyo azungumziahali inayoendelea katika bunge hili la september

No comments: