LIVERPOOL WAKO TAYARI KUMWACHIA COUTINHO ANDE BARCELONA JANARY

Club ya Liverpool ya England katika kipindi cha usajili cha majira ya joto mwaka huu kilikataa kumuuza staa wao raia wa Brazil Philippe Coutinho kwenda katika club ya FC Barcelona ya Hispania licha ya staa huyo kushinikiza.
Wakala wa Coutinho na watu wa karibu na familia ya Coutinho wamekuwa wakishawishi Coutinho ajiunge na FC Barcelona na wawakilishi hao wapo tayari kusikiliza ofa ya Barcelona kwa mara nyingine tena dirisha la usajili la January litakapofunguliwa.
Habari zilizoripotiwa katika mitandao ya kijamii zinaeleza kuwa Liverpool watakuwa radhi kumuachia Coutinhoaende Barcelona mwezi January kama hawatokuwa dalili katika mbio za Ubingwa, licha ya staa huyo kushinikiz
a

No comments: