Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
unamjua aliyempiga mheshiwa tundu lissu sikiliza hii
baada ya kusikia taarifa ya kupigwa risasi kwa mheshimiwa Tundu Lissu mtu anayedhaniwa amempiga risasi amegundulika kujulikana baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa facebook huku akiomba ruhusa ya kumuuwa mheshiwa lissu.inasemekana kuwa jamaa huyo alikuwa anaomba ruhusa ya kumuua lissu kutoka na taarifa yake ya kusema kuwa serikali inahumu nchi
No comments:
Post a Comment