Hii kali ya chid benz

Kama ulikuwa huijui hii saa nakuvutia hii ya chid benz moja kati ya marapa waliokuwa wanafanya vizuri kipindi kile.ila baada ya kitambo kirefu cha kukutana na kasumba nyingi hasa zile za madawa ya kulevya,sasa mpya hii hapa kali yake.Akiwa anojiwa na enewz chid afunguka asema anatarajia kufanya wimbo na rapa ambaye alikuwa anafanya vizuri kipindi cha miaka ya 96 rapa amir shakir

No comments: