Kiingereza cha Harmonize, Mzungu kamsaidia?

staa wa nyimbo ya sina na moja kati  ya wanamziki wanaomilikiwa na lebo ya WCB chini ya diamond.harmonize alikutana na moja ya mapresenter  wa vipindi nchini kenya akiwa kwenye moja ya event ambazo alialikwa kuperform.kikubwa zaid ni jinsi alivyokuwa ana flow kingereza

No comments: