BREAKING NEWS: Watoto 3 Wafariki kwa Mlipuko wa Bomu Arusha

Kutokea katika hosipitali ya wilaya ya Monduli mkoani Arusha, taarifa za kufariki dunia kwa watoto watatu (3) waliofariki dunia kwa kulipukiwa na bomu zimethibitishwa na daktari aliyekuwa zamu na kueleza kuwa miili ya watoto hao imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hosipitalini hapo na taratibu za maziko zinaendelea

No comments: