Mrembo Mtanzania aliyenunua nyumba New York, Marekani
Herieth Paul ni mrembo mtanzania ambaye kwa sasa anaishi nchini
Marekani, Ni Model mwenye umri mdogo ambaye kwa sasa anaishi kwenye
Nyumba yake mwenye aliyoinunua New York, Marekani.
'Niliumia sana moyo nilipomkosa Mwigizaji Elizabeth Michael'- Bahati
7 ambapo mkali kutoka Kenya, Bahati alikutana na millardayo.com &
Ayo TV Airport Dar es Salaam na kuzungumza jinsi alifanya jitihada
zake za kumtafuta Mwigizaji Lulu amshirikishe kwenye single yake lakini
haikuwezekana.
MALAIKA-"Nilifeli Kidato cha 4 lakini sio mwisho wa maisha"
May 26, 2017 Mwimbaji staa kutoka Bongoflevani Malaika ambaye siku
chache zilizopita alikuwa kwenye headlines kufuatia kufanya show
Marekani amefunguka kuhusu maisha yake ambapo amegusia kuhusu elimu yake
akisema alifeli Kidato cha Nne.
Kala Jeremiah aikosoa kauli ya Mwakyembe kutoimba Siasa
Hivi karibuni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison
Mwakyembe alisimama Bungeni Dodoma na kuwataka wasanii wasijihusishe na
kuimba siasa badala yake wajikite kuelimisha jamii kauli ambayo imekuwa
gumzo kwa wadau wa muziki.
SAKATA LA KUIBIWA MTOTO: Waziri Ummy aunda Tume Huru kuchunguza
Siku zimepita tangu sakata la Mwanamke mkazi wa Dar es salaam aitwae
Asma kudai kuibiwa mtoto ambaye inadaiwa wakati akifanyiwa Ultra sound
alikua na ujauzito wa Watoto mapacha lakini alipokwenda kujifungua
aliambiwa amejifungua mtoto mmoja
Baba Mzazi Athibitisha Msuva Kuondoka Yanga, Je Anakwenda Timu Gani?
Alisajiliwa kwa Laki 2 Leo Simon Msuva Kachukua Tuzo ya Mfungaji Bora
John Bocco Atua Rasmi Simba, Aishi Manula Naye Kumfuata, Griezmann Man U
Hatimaye John Bocco Atua Simba, Aishi Manula Naye Kumfuata
�� Askofu Gwajima awavaa Prof. Muhongo na Tundu Lissu
Askofu Gwajima awavaa Prof. Muhongo na Tundu Lissu kwenye Ibada ya
Kanisani kwakwe Jumapili. Amsifia Rais Magufuli kwa hatua alizochukua
sakata la Mchanga wa Madini
Kaimu balozi wa Marekani Tanzania aeleza msimamo Washington kuhusiana na...
Virginia Blaser, kaimu balozi wa Marekani nchini Tanzania akizungumza
katika mahojiano maalum na Sauti ya Amerika juu ya masala mbali mbali.
Isaac Ruto in Baringo ''Hii serikali ni ya Uhuru Kenyatta, William Ruto ...
Mtazamaji safari ya Rais Uhuru Kenyatta ya kisiasa bila shaka imekuwa na
misukosuko ya aina yake, kuanzia miaka ya tisini aliposimama wadhifa wa
ubunge wa Gatundu Kusini na kushindwa.
news:msukosuko unaomkabili rais uhutu kenyetta
Mtazamaji safari ya Rais Uhuru Kenyatta ya kisiasa bila shaka imekuwa na
misukosuko ya aina yake, kuanzia miaka ya tisini aliposimama wadhifa wa
ubunge wa Gatundu Kusini na kushindwa.
Lissu Aponda Uamuzi wa Rais JPM Kuzuia Mchanga wa Dhahabu, Atabiri Hali ...
Tundu Lissu, Mbunge Singida Mashariki, ameucharukia uamuzi wa rais
Magufuli wa kuzuia mchanga wa dhahabu kwenda nje ya nchi, akieleza
kwamba kitendo hicho kimeua kabisa diplomasia ya kiuchumi.
Maneno matatu ya Zari kwa wanae leo kwenye kumuaga aliyekuwa mume wake.
zari the boss lady leo siku ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani ivan ambaye wamefanikiwa kupata watoto watatu.katika hatua hiyo ya mwisho zary aliamua kutoa maneno matatu kwa watoto wake
news:Hali ya Kiuchumi kwa Mzee Yusuph Yabadilika Sana Kutokana na Dini.
hali ya kiuchumi ya mwimbaji wa taarabu mzee yusuph imbabadilika kutokana na dini.akisema hayo kwenye mahojiano na kituo cha redio cha times fm afunguka bayana hali yake ilivyo sasa na hali ya kipindi cha nyumba
MCHANGA WA DHAHABU: Rais Magufuli atatikisa dunia, Serukamba
Mheshimiwa peter serukamba mbunge wa kigoma anasema sakata la mchanga wa dhahabu raisi magufuli atikisa nchi.
Subscribe to:
Posts (Atom)