IJUE Kazi mpya ya Jakaya Kikwete Baada ya Kustaafu
Rais Mstaafu wa awamu ya nne mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kazini,
BUNGE LA BAJETI 2017/18: WABUNGE WAZIKOMALIA SHILINGI 40 ZA ROAD LICENSE
Wabunge kadhaa wameitaka serikali kutumia shilingi arobaini zilizowekwa kwenye tozo ya mafuta kuboresha huduma za maji mijini na vijijini
Kisa cha majibizano ya Diamond Platnumz na Zari kwenye mtandao
Katika stori zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na majibizano kati ya Diamond Platnumz na Zari kwenye Instagram baada ya Diamond kupost picha ya Zari akiwa kwenye swimming pool na mwanaume mwingine na kuonyeshwa kukasirika na baadae Zari akajibu
RIPOTI YA MCHANGA II: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kukabidhiwa, I...
Ripoti ya pili ya mchanga wa madini, imewasilishwa mbele ya Rais John
Pombe Magufuli na mwenyekiti wa kamati hiyo, Nehemia Eliachim Ossoro
ambapo rais ameonesha kuhuzunishwa sana na kukasirishwa mno na kilichomo
kwenye ripoti hiyo.
Ripoti ya kamati hiyo, inakuja siku chache baada ya kamati ya kwanza iliyoongozwa na Profesa Mruma, nayo kukabidhiwa kwa mheshimiwa Rais, ikionesha ubadhirifu mkubwa wa rasilimali za taifa, katika sekta ya madini nchini
Ripoti ya kamati hiyo, inakuja siku chache baada ya kamati ya kwanza iliyoongozwa na Profesa Mruma, nayo kukabidhiwa kwa mheshimiwa Rais, ikionesha ubadhirifu mkubwa wa rasilimali za taifa, katika sekta ya madini nchini
Agizo la JPM kwa Spika Ndugai baada ya kupokea Ripoti ya Pili
Baada ya kupokea Ripoti ya Pili ya mchanga wa madini Ikulu leo June 12,
2017 Rais Magufuli ametoa agizo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai
kuwashughulikia Wabunge ambao hawaoneshi nidhamu kuheshimu Bunge…
Gor Mahia walivyosherehekea Ubingwa SportPesa Super Cup 2017
Baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa timu ya
Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwa ushindi wa magoli 3-0 baada
ya hapo Gor Mahia walikabidhiwa zawadi yao ya mfano wa hundi na
kukabidhiwa Kombe lao katika uwanja wa Uhuru, kama hukuona video
nimekuwekea hapa.
Subscribe to:
Posts (Atom)