Gor Mahia walivyosherehekea Ubingwa SportPesa Super Cup 2017

Baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa timu ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwa ushindi wa magoli 3-0 baada ya hapo Gor Mahia walikabidhiwa zawadi yao ya mfano wa hundi na kukabidhiwa Kombe lao katika uwanja wa Uhuru, kama hukuona video nimekuwekea hapa.

No comments: