Kufungwa kwa Mtanzania Uingereza, Sheria inasemaje?

Siku chache baada ya kuwepo kwa taarifa za Mtanzania Omega Mwaikambo ambaye anaishi Uingereza kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela nchini humo kwa kupost kwenye Facebook mabaki ya mtu aliyeungua moto kwenye ajali ya moto ulioteketeza ghorofa la Grenfell Tower Ayo TV imemtafuta Jebra Kambole ambaye ni Wakili wa kujitegemea ili kufafanua zaidi juu ya tukio hilo kulingana na sheria…

No comments: