Msiba wa Ndesamburo; Povu la Gwajima kwa RC Mrisho Gambo Laanzisha 'Vita'

Mwili wa aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi Mjini mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo Tar 5 Juni 2017 katika viwanja vya Majengo na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wamehudhuria, alikuwepo askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima ambapo alipopata furasa ya kuzungumza alianza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrsho Gambo kwa kile alichodai kuwa hakuwa sahihi kabisa kuzuia eneo lililokuwa limepangwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu

No comments: