Saudi Arabia yabadili safu ya urithi wa kiti cha Ufalme

Mmoroco mwenye umri wa miaka 36 ametajwa kuwa mshukiwa alieripua begi lililojaa misumari na chupa za gesi katika kituo kikuu cha treni mjini Brussels, Ubelgiji.Mawaziri wengine wa serikali ya rais Emmanuel Macron wamejiuzulu nchini Ufaransa. Waziri wa sheria Francoise Bayrou na wa masuala ya Ulaya Marielle de Sarnez wamejiuzulu ili kutoa nafasi kwa rais Macron kusafisha siasa za Ufaransa.Mfalme wa Saudi Arabia Salman amefanya mabadiliko katika safu ya warithi wa kiti cha ufalme na kumteuwa mwanae Mohammed bin Salman aliekuwa naibu mrithi wa kiti hicho kuwa mrithi kamili.

No comments: