Asha Baraka ataja wasanii wanaoutaka Ubunge, Udiwani 2020

Ndoto za wanamuziki kuingia kwenye siasa wakitaka kuzitumikia jamii zao kwa namna nyingine zinazidi kushika kasi kila siku ambapo leo June 9, 2017 Mkurugenzi wa Aset inayomiliki Bandi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ‘CCM’, Asha Baraka amekaa na Ayo TV na millardayo.com na amewataja wasanii ambao wanatamani kuwa Madiwani na Wabunge…

No comments: