Deni La Taifa Laongeza Kwa % 9.2

Serikali Imewasilisha Bungeni bajeti Kuu kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 Ambapo Miongoni mwa vipaumbele ni katika kukuza Uchumi wa Viwanda,kufungamanisha Uchumi na maendeleo ya Watu,kujenga Mazingira Wezeshi Kwa Uendeshaji Biashara na Uwekezaji Huku Ikiweka Msisitizo Katika Kusimamia Mfumo wa Kodi,Ada na Tozo mbalimbali

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango Amewasilisha Bungeni Mapendekezo Ya Serikali Kuhusu Makadirio Ya Mapato na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2017/18 Ambapo Deni La Taifa Limeongezaka Kwa Asilimia 9.2 Kutoka Kiasi Cha Shlingi Bilioni 39. Ada bilinion 42 Ongezeko ili linatokana Mikopo Mpya Na Yazamani Na Mipya Na Limbikizo La Riba Pamoja Na Kushuka Kwa Thamani Ya Dola Ya Marekani.

No comments: