WAFAHAMU MASTAA HAWA WATANO WALIOWAHI KUBAKWA

Maisha ni safari ndefu sana kila mmoja kuna wakati hupitia matukio mazuri au mabaya. Na changamoto za maisha wakati mwingine huletwa na sisi binadamu wenyewe, ukosefu wa utu na maadili mema yanapelekea kutokea matendo mengi.

Leo kwenye kipindi maalum cha Global TV Online nimekuandalia simulizi fupi ya ukweli ya mastaa watano kutoka tasnia ya burudani Tanzania waliowahi kubakwa.

Ndani yupo Irene Uwoya, Kidoa, Sanchi, Shilole na wengine hawa kwa leo wanaikamilisha simulizi hii fupi ya mastaa waliowahi kubakwa.

No comments: