Breaking News: Maalim Seif Aishutumu RITA Kusajili Wajumbe Feki wa Bodi,...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif ameishutumu Wakala wa Usajili, Mufirisi na Udhamini (RITA) kwa kusajili Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CUF ambao amedao kuwa ni wajumbe feki waliotangazwa hivi karibuni na chama hicho upande wa Prof. Ibrahim Lipumba.

RITA imesajili wajumbe 'feki' wa Bodi ya Wadhamini ya CUF, hizo ni njama chafu za kuua bodi halali iliyokilinda chama. Maalim Seif.

Maalim Seif asema RITA walishinikizwa kusajili bodi feki kwa kutumia nyaraka za kughushi ili Lipumba apate uhalali wa kumuondoa madarakani.
#Global TV Online, kwa kushirikiana na TB

No comments: