Kufutwa Kodi ya Magari, Kuongezeka Bajeti, Wizi wa Madini, Watanzania Na...

Mbunge wa Kakonko, Kasuku Bilago amecharuka bungeni ambapo amehoji ni nani aliyewaroga Watanzania mpaka wanafikia hatua ya kufanya mambo ya ajabu wakiongozwa na wabunge wao?
Bilago alikuwa akichangia bajeti ya serikali bungeni ambapo alilaani vikali kitendo cha serikali kufuta kodi ya magari (motor vehicle license) na kuihamishia kwenye mafuta, kwani kitendo hicho ni sawa na kumuongezea mzigo mzito mwananchi wa kawaida na kusababisha maisha yazidi kuwa magumu.

No comments: