Msaada wa Magari na Bilioni 110 alizokabidhiwa Rais JPM Ikulu leo

Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Ibrahim Al Najem na kushukuru kwa kutoa mkopo wa Tsh. Bilioni 110 za ujenzi wa barabara KM 85 Chaya - Nyahua, Tabora.

Rais Magufuli ametoa shukrani na kupokea msaada wa magari mawili ya kubebea taka ngumu yenye thamani ya Dola 200,000/- yaliyotolewa na Serikali ya Kuwait.

No comments: