Huduma ya matibabu ambayo sasa utaipata TZ na si nje ya nchi tena

Serikali ya TZ imekuwa ikipeleka wagonjwa 14 kwa mwaka kwa ajili upasuaji na upandikizaji wa vifaaa vya usikivu na gharama yake ni milioni 80 hadi 100 kupandikiza kifaa kwa mtoto mmoja. Sasa Good News ni kwamba huduma hiyo imeanza kutolewa Rasmi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

No comments: