Jumuika na mimi kila saa uweze kupata taarifa mpya zinazojiri kila wakati
Mmiliki wa Migodi ya Acacia Uso kwa Uso na Rais Magufuli Ikulu, Akubali ...
Siku chache baada ya Rais John Pombe Magufuli kukabidhiwa ripoti ya
kamati ya kuchunguza mchanga wa madini na kubaini kwamba kampuni ya
Acacia ilikuwa ikifanya kazi zake nchini bila kuwa na vibali na ilikuwa
ikisafirisha mchanga huo wa madini kinyume cha sheria, mmiliki wa migodi
hiyo amemuibukia rais Magufuli Ikulu.
No comments:
Post a Comment