RIPOTI YA MCHANGA II: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kukabidhiwa, I...

Ripoti ya pili ya mchanga wa madini, imewasilishwa mbele ya Rais John Pombe Magufuli na mwenyekiti wa kamati hiyo, Nehemia Eliachim Ossoro ambapo rais ameonesha kuhuzunishwa sana na kukasirishwa mno na kilichomo kwenye ripoti hiyo.
Ripoti ya kamati hiyo, inakuja siku chache baada ya kamati ya kwanza iliyoongozwa na Profesa Mruma, nayo kukabidhiwa kwa mheshimiwa Rais, ikionesha ubadhirifu mkubwa wa rasilimali za taifa, katika sekta ya madini nchini

No comments: