Mwili wa anayedaiwa kuchora Nembo ya Taifa ulivyoagwa Muhimbili
June 2, 2017 ilitolewa taarifa ya kupatikana kwa ndugu wa marehemu mzee
Francis Maige Kanyasu ambaye anatajwa kuwa mmoja wa waliochora Nembo ya
Taifa ambapo ilielezwa pia kuwa mwili wake utaagwa leo June 3, 2017
katika Hospitali ya Muhimbili
Lava Lava kutoka WCB akiri kumkubali Alikiba zaidi
Baada ya Lava Lava kutangazwa kujiunga na lebo ya WCB siku chache
zilizopita pamoja na kuachia wimbo wake mpya 'Tuachane' ambao unafanya
vizuri sehemu mbalimbali - muimbaji huyo ameeleza mengi ikiwemo safari
yake mpaka kufika WCB
HARMONIZE AMTAMBULISHA RASMI MPENZI WAKE WA KIZUNGU RAIA WA ITALY, MCHEK...
Harmonize Amtambulisha Rasmi Mpenzi wake wa kizungu.... Raia wa Italy
ambaye anamuweka Mjini kwa sasa.... Habari zinazo zagaa kama Njugu kitaa
ni kwamba mwanamama tayari ana Mimba na Muda wowote kinanukaa...!! Je
Unampa marks ngapi Harmonize kwa chombo hiki?? 50 % au 100% ????
GIGY MONEY ANA NGOMA? AMEPIMA, MAJIBU HAYA HAPA, WEMA ACHEZESHWA KISINGE...
Yule mwanadada anayeliangahisha jiji la Dar es Salaam, deo aliyotuwekea
mtandaoni, Gigy ambaye alitrend juma lililopita kwa kulikisha video
akiwa na mwanasheria maarufu Albert Msando ameamua kuyaweka majibu yake
hadharani jionee..
HAIJAWAHI KUTOKEA! MAGUFULI AMTEUA MPINZANI ANNA MGHWIRA MKUU WA MKOA KI...
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa mgombe urais kupitia ACT Wazalendo Anna
Mghwira kuwa Mkuu wa Moa wa Kilimanjaro baada ya aliyejiuzulu Mh. Saidi
Meck Sadiki.
Mambo mawili ya Zitto Kabwe kuhusu Mchanga wa Madini
June 3, 2017 Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Kongamano kuhusu
Rasilimali Madini ambalo limefanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa DSM
kujadili masuala ya Madini ikiwemo Mchanga wenye madini unaosafirishwa
nje ya nchi.
"Spika Ndugai alimdhalilisha Mbunge John Mnyika"-BAVICHA
June 2 2017, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aliingia kwenye headline
baada ya Spika wa bunge kuamuru atolewe ndani ya ukumbi wa bunge kwa
madia ya kuonyesha utovu wa nidhamu.
Sasa leo June 3 2017 Baraza la vijana la chama cha demokrasia na maendeleo 'BAVICHA' limelaani kitendo cha kumsukuma Mbunge John Mnyika wakidai kuwa Mnyika hakukaidi amri ya Spika kutoka nje na walitumia nguvu iliyopita kiasi.
Aidha wamelaani kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kuwaagiza askari kumtoa nje kwa nguvu Mbunge Mnyika hata pale amabpo alikuwa anajiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge kiistaarabu

DIAMOND PLATNUMZ AMEKUBALI KULEA WATOTO WA MAREHEMU IVAN DON KWA HALI YE...
diamondplatnumz amekubali kulea watoto wa marehemu Ivan Don kwa hali
yeyote....anasema Muda wowote watakaomuhitaji Basi haitakuwa shida....
Tazama X sikiliza hapa full Interview kisha Acha comment yako hapa mdau
Idadi ya watoto wanaofariki Tanzania kwa kukosa lishe bora
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr. Charles Tizeba yupo Kagera kwenye
Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ambapo amesema kuwa takwimu
zinaonesha zaidi ya watoto 130 hufariki kila siku Tanzania kutokana na
lishe duni.

Mambo matano kutoka Azam FC baada ya cheo cha CEO kufutwa
Jana June 1 2017 club ya Azam FC itangaza rasmi kumalizana na aliyekuwa
afisa mtendaji Mkuu wa club hiyo Saad Kawemba (CEO) kutokana na mkataba
wake kumalizika, walitangaza kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa club na
utawala lakini afisa habari wa club hiyo Jafari Idd kaongea na
wanahabari leo.
Subscribe to:
Posts (Atom)