"Spika Ndugai alimdhalilisha Mbunge John Mnyika"-BAVICHA

June 2 2017, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aliingia kwenye headline baada ya Spika wa bunge kuamuru atolewe ndani ya ukumbi wa bunge kwa madia ya kuonyesha utovu wa nidhamu.

Sasa leo June 3 2017 Baraza la vijana la chama cha demokrasia na maendeleo 'BAVICHA' limelaani kitendo cha kumsukuma Mbunge John Mnyika wakidai kuwa Mnyika hakukaidi amri ya Spika kutoka nje na walitumia nguvu iliyopita kiasi.

Aidha wamelaani kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kuwaagiza askari kumtoa nje kwa nguvu Mbunge Mnyika hata pale amabpo alikuwa anajiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge kiistaarabu

No comments: