Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika
Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akipatiwa
matibabu.
Cisco Mtiro alikuwa Balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia, Singapore na Laos.
Kwa
mujibu wa familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B
jijini Dar es salaam ambapo aratibu za mazishi zinaendelea na taarifa
zitatolewa mara tu zitapokamilika.
Mwili wa anayedaiwa kuchora Nembo ya Taifa ulivyoagwa Muhimbili
June 2, 2017 ilitolewa taarifa ya kupatikana kwa ndugu wa marehemu mzee
Francis Maige Kanyasu ambaye anatajwa kuwa mmoja wa waliochora Nembo ya
Taifa ambapo ilielezwa pia kuwa mwili wake utaagwa leo June 3, 2017
katika Hospitali ya Muhimbili
Lava Lava kutoka WCB akiri kumkubali Alikiba zaidi
Baada ya Lava Lava kutangazwa kujiunga na lebo ya WCB siku chache
zilizopita pamoja na kuachia wimbo wake mpya 'Tuachane' ambao unafanya
vizuri sehemu mbalimbali - muimbaji huyo ameeleza mengi ikiwemo safari
yake mpaka kufika WCB
HARMONIZE AMTAMBULISHA RASMI MPENZI WAKE WA KIZUNGU RAIA WA ITALY, MCHEK...
Harmonize Amtambulisha Rasmi Mpenzi wake wa kizungu.... Raia wa Italy
ambaye anamuweka Mjini kwa sasa.... Habari zinazo zagaa kama Njugu kitaa
ni kwamba mwanamama tayari ana Mimba na Muda wowote kinanukaa...!! Je
Unampa marks ngapi Harmonize kwa chombo hiki?? 50 % au 100% ????
GIGY MONEY ANA NGOMA? AMEPIMA, MAJIBU HAYA HAPA, WEMA ACHEZESHWA KISINGE...
Yule mwanadada anayeliangahisha jiji la Dar es Salaam, deo aliyotuwekea
mtandaoni, Gigy ambaye alitrend juma lililopita kwa kulikisha video
akiwa na mwanasheria maarufu Albert Msando ameamua kuyaweka majibu yake
hadharani jionee..
HAIJAWAHI KUTOKEA! MAGUFULI AMTEUA MPINZANI ANNA MGHWIRA MKUU WA MKOA KI...
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa mgombe urais kupitia ACT Wazalendo Anna
Mghwira kuwa Mkuu wa Moa wa Kilimanjaro baada ya aliyejiuzulu Mh. Saidi
Meck Sadiki.
Mambo mawili ya Zitto Kabwe kuhusu Mchanga wa Madini
June 3, 2017 Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Kongamano kuhusu
Rasilimali Madini ambalo limefanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa DSM
kujadili masuala ya Madini ikiwemo Mchanga wenye madini unaosafirishwa
nje ya nchi.
"Spika Ndugai alimdhalilisha Mbunge John Mnyika"-BAVICHA
June 2 2017, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aliingia kwenye headline
baada ya Spika wa bunge kuamuru atolewe ndani ya ukumbi wa bunge kwa
madia ya kuonyesha utovu wa nidhamu.
Sasa leo June 3 2017 Baraza la vijana la chama cha demokrasia na maendeleo 'BAVICHA' limelaani kitendo cha kumsukuma Mbunge John Mnyika wakidai kuwa Mnyika hakukaidi amri ya Spika kutoka nje na walitumia nguvu iliyopita kiasi.
Aidha wamelaani kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kuwaagiza askari kumtoa nje kwa nguvu Mbunge Mnyika hata pale amabpo alikuwa anajiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge kiistaarabu
Sasa leo June 3 2017 Baraza la vijana la chama cha demokrasia na maendeleo 'BAVICHA' limelaani kitendo cha kumsukuma Mbunge John Mnyika wakidai kuwa Mnyika hakukaidi amri ya Spika kutoka nje na walitumia nguvu iliyopita kiasi.
Aidha wamelaani kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kuwaagiza askari kumtoa nje kwa nguvu Mbunge Mnyika hata pale amabpo alikuwa anajiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa bunge kiistaarabu
DIAMOND PLATNUMZ AMEKUBALI KULEA WATOTO WA MAREHEMU IVAN DON KWA HALI YE...
diamondplatnumz amekubali kulea watoto wa marehemu Ivan Don kwa hali
yeyote....anasema Muda wowote watakaomuhitaji Basi haitakuwa shida....
Tazama X sikiliza hapa full Interview kisha Acha comment yako hapa mdau
Subscribe to:
Posts (Atom)