Manula Afungukia Sababu za Kuondoka Azam FC
Aliyekuwa mlinda lango wa Azam FC Manula ameondoka azam FC kutokana na uongozi kutothamini uwezo wake
Saida Kalori arudi kivingine kushirikiana na Diamond,Bell 9 na Darassa
Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchinI Tanzania Saida Kalori ameamua kurudi upya ,Baada ya kuona Wanamuziki wa bongo fleva wanakopi nyimbo zake bila ya yeye kufaidika na chochote ,Kwa sasa ametoa nyimbo yake inayoitwa "O'RUGAMBO"
Kufutwa Kodi ya Magari, Kuongezeka Bajeti, Wizi wa Madini, Watanzania Na...
Mbunge wa Kakonko, Kasuku Bilago amecharuka bungeni ambapo amehoji ni nani aliyewaroga Watanzania mpaka wanafikia hatua ya kufanya mambo ya ajabu wakiongozwa na wabunge wao?
Bilago alikuwa akichangia bajeti ya serikali bungeni ambapo alilaani vikali kitendo cha serikali kufuta kodi ya magari (motor vehicle license) na kuihamishia kwenye mafuta, kwani kitendo hicho ni sawa na kumuongezea mzigo mzito mwananchi wa kawaida na kusababisha maisha yazidi kuwa magumu.

IJUE Kazi mpya ya Jakaya Kikwete Baada ya Kustaafu
Rais Mstaafu wa awamu ya nne mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kazini,
BUNGE LA BAJETI 2017/18: WABUNGE WAZIKOMALIA SHILINGI 40 ZA ROAD LICENSE
Wabunge kadhaa wameitaka serikali kutumia shilingi arobaini zilizowekwa kwenye tozo ya mafuta kuboresha huduma za maji mijini na vijijini
Kisa cha majibizano ya Diamond Platnumz na Zari kwenye mtandao
Katika stori zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na majibizano kati ya Diamond Platnumz na Zari kwenye Instagram baada ya Diamond kupost picha ya Zari akiwa kwenye swimming pool na mwanaume mwingine na kuonyeshwa kukasirika na baadae Zari akajibu
RIPOTI YA MCHANGA II: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kukabidhiwa, I...
Ripoti ya pili ya mchanga wa madini, imewasilishwa mbele ya Rais John
Pombe Magufuli na mwenyekiti wa kamati hiyo, Nehemia Eliachim Ossoro
ambapo rais ameonesha kuhuzunishwa sana na kukasirishwa mno na kilichomo
kwenye ripoti hiyo.
Ripoti ya kamati hiyo, inakuja siku chache baada ya kamati ya kwanza iliyoongozwa na Profesa Mruma, nayo kukabidhiwa kwa mheshimiwa Rais, ikionesha ubadhirifu mkubwa wa rasilimali za taifa, katika sekta ya madini nchini

Agizo la JPM kwa Spika Ndugai baada ya kupokea Ripoti ya Pili
Baada ya kupokea Ripoti ya Pili ya mchanga wa madini Ikulu leo June 12,
2017 Rais Magufuli ametoa agizo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai
kuwashughulikia Wabunge ambao hawaoneshi nidhamu kuheshimu Bunge…
Subscribe to:
Posts (Atom)