Rai ya JPM yabadili muelekeo Makampuni ya miamala ya Fedha
Story
ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni baada ya Rais
JPM kutoa rai kwa Makampuni ya Miamala ya Fedha ikiwemo mitandao ya simu
na Mabenki kuharakisha uuzaji wa hisa 25% katika hisa zao kwenye Soko
la Hisa DSM. Ayo TV na millardayo.com zimefanikiwa kutembelea moja ya
ofisi za Maxcom Africa ambayo imebadili jina na sasa inaitwa Maxcom
Africa PLC baada ya kauli ya JPM
update:Lowassa afunguka, ampongeza Rais Magufuli kuhusu ripoti ya Madini
Siku moja baada ya Rais Magufuli kupokea ripoti ya Kamati ya Uchunguzi
wa madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya
nchi lee June 13, 2017 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa
amekutana na wandishi wa Habari na kutoa ushauri kuhusu ripoti hiyo

NGELEJA ASEMA HAYA BAADA YA KUTAJWA KWENYE KUSAINI MIKTABA MIBOVU
aliyekuwa waziri wa nishati na madini mheshimiwa william ngeleja asema maneno haya baada ya yeye kuhusiswa kwenye kashifa ya kusaini mikataba mibovu ya madini.ikumbukwe mhishimiwa ngeleja alikuwa waziri wa nishati na madini wakati wa kipindi cha rais jakaya kikwete
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
Mbunge
wa Singida Mashariki Tundu Lissu ni niongoni mwa waliopata nafasi ya
kusimama Bungeni leo June 13, 2017 kuchangia mapendekezo yake katika
bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2017/18 na haya ndio aliyozungumza.inaonekana bado swala la madini linatawala vichwa vya habari.......
Uvutaji hatari wa sigara
Wakati mwingine uvutaji sigara usio wa uwajibikaji unaweza kusababisha maafa makubwa.
Mawe ya Volkano nishati mbadala
Matumizi wa ya mawe ya volkano kama nishati mbadala ni ufumbuzi unaotarajiwa kupunguza kasi ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa. Mwandishi Emmanuel Lubega kutoka Kampala katuandalia vidio ifuatayo.
Mtoto wa Gaddafi kushiriki maridhiano Libya
Chama cha rais Emmanuel Macron wa Ufaransa chaibuka na ushindi katika uchaguzi wa bunge. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kukutana na viongozi wa Afrika Berlin. Na mtoto wa kiume wa Gaddafi kushiriki maridhiano ya Libya. Papo kwa Papo 12.05.2017
WAFAHAMU MASTAA HAWA WATANO WALIOWAHI KUBAKWA
Maisha ni safari ndefu sana kila mmoja kuna wakati hupitia matukio mazuri au mabaya. Na changamoto za maisha wakati mwingine huletwa na sisi binadamu wenyewe, ukosefu wa utu na maadili mema yanapelekea kutokea matendo mengi.
Leo kwenye kipindi maalum cha Global TV Online nimekuandalia simulizi fupi ya ukweli ya mastaa watano kutoka tasnia ya burudani Tanzania waliowahi kubakwa.
Ndani yupo Irene Uwoya, Kidoa, Sanchi, Shilole na wengine hawa kwa leo wanaikamilisha simulizi hii fupi ya mastaa waliowahi kubakwa.

YUSUF MANJI AREJEA RASMI YANGA AWAVUTA ABDALLAH BIN CLEB, SEIF MAGARI KU...
Mara baada ya Klabu ya Yanga kutangaya kuwa imeanyisha utaratibu wa wanachama wake kuwachangia fedha , upande wa pili wapinyani wao Simba Sc wakaanya kuongea huku wakiwacheka kuwa eti wameishiwa, sasa hahari njema kwa wanajangwani hao ni kuwa Matajiri watatu wenye uwezo kurudisha Klabu hizo katika hadhi za kimataifa Wamerejea. Matajiri hao wakiongoywa na Zusuf Manji ni pamoja na Abdallah Bin Cleb na Seif Ahmed Magari. viongoyi hao tazari wamekisafirisha kwa Ndege kikosi cha Yanga SC chenze jumla za wacheyaji ishirini na mbili kwenda Mwanya Kucheza nusu fainali kombe la FA.
Manula Afungukia Sababu za Kuondoka Azam FC
Aliyekuwa mlinda lango wa Azam FC Manula ameondoka azam FC kutokana na uongozi kutothamini uwezo wake
Subscribe to:
Posts (Atom)