MTU ASIYE NA KICHWA AWAACHA WAZUNGU MIDOMO WAZI

Usishangae ndio ilivyo
,mtu asiye na kichwa awaacha watu midomo wazi kwa jinsi anavyofanya matendo yake

UTAJIRI WA BAKHRESA: Hoteli ya kisasa anayojenga baharini Zanzibar

Mfanyabiashara maarufu na Tajiri Tanzania Said Salim Awadh Bakhresa yuko na sisi tena kwenye vichwa vya habari na hii hoteli ya kifahari anayoijenga Zanzibar ambako ni nyumbani alikozaliwa miaka zaii ya 60 iliyopita.

Serikali imetoa ofa ya siku 3 nchi nzima Tanzania


Serikali imetangaza kuanzia June 2 hadi 4, 2017 Watanzania wataingia bure katika Mbuga na Hifadhi za Wanyama nchini kote ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Tanzania ambayo itafanyika kitaifa Butiama mkoani Mara

MAGAZETI: Siri nzito kungo'ka kwa IGP Mangu, Waliotajwa kumrithi Muhongo

MAGAZETI: Siri nzito kungo'ka kwa IGP Mangu, Waliotajwa kumrithi Muhongo

Kimenuka, Mwanamke Aliyeibiwa Mtoto, Ummy Mwalimu Asema Kinachoendelea

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefunguka yanayoendelea sakata la mwanamke aliye dai kuibiwa mtoto mara alipokuwa kujifungua na kujikuta na mtoto mmoja hali yakuwa alikuwa akijua kuwa ujauzito wake ulikuwa wa watoto mapacha kutokana vipimo alivyovifanya alipokuwa mjamzito.

UPDATE:Tanzania inapoteza miti laki 9 kwa mwaka"JANUARY MAKAMBA"

EWaziri wa katiba na sheria mheshimiwa january makamba asema Tanzania yapotea kiasi cha miti 2500 kwa siku ambayo kwa hesabu ya mwaka ni miti laki 9 kwa mwaka.Asema hayo kwenye kilele cha kupanda miti dunia  ambayo ilikuwa inafanyika kitaifa tabora pia.Mheshimiwa makamba asema wanatazamia kutengeneza sera mpya ya utunzaji wa mazingira

UPDATE:NAWAPA ONYO WAHALIFU"IGP SIRRO"

IGP Mpya wa Jeshi la Polisi Simon Sirro Ametoa Onyo kali kwa Vibaka na Waharifu kwa Ujumla mara Baada ya Kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

UPDATE:Gwajima amvaa Tundu Lissu Sakata la Mchanga wa Madini

Askofu Gwajima amemvaa Tundu Lissu Sakata la Mchanga wa Madini. Ni baada ya Kauli ya Tundu Lissu kwamba nchi itashtakiwa endapo wawekezaji wa Madini watafukuzwa na kunyang'anywa mali zao

Msimamo wa Chadema Kuhusu Sakata la Mchanga wa Dhahabu


Freeman Mbowe, ametoa msimamo wa Chadema kuhusu sakata la mchanga wa dhahabu ambapo amefunguka kuwa kinachoendelea sasa kuhusu ufisadi huo, ni matokeo ya sera mbovu za serikali inayoongozwa na CCM

Breaking News: IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ma...

IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu

Breaking News: IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ma...

IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu

Matiko ataka watumishi na vifaa vya upimaji ardhi Tarime

Arusha waukaribisha mwezi mtukufuwa Ramadhani

Kimataifa Korea kaskazini kuizamisha meli ya marekaniv#newsupdate

Juhudi za Marekani kukabiliana na kitisho cha Korea Kaskazini

Marekani inaongoza juhudi za kukabiliana na kitisho cha Korea Kaskazini
kwa kuyataka mataifa shirika kuzungumza na sauti moja. Na Bi Hillary
Clinton ajitokeza na kusema anaungana na upinzaniwa wananchi dhidi ya
Trump

Kuelekea uchaguzi nchini Kenya wapiga kura wanasemaje?

HUU NDIO UTAJIRI WA MAKONDA MKUU WA MKOA DSM

Good News! Waliomaliza Form Six na Diploma wanaotaka kusoma Nje Ya Nchi.

Global Education Link wanapenda kuwafahamisha wazazi na wanafunzi kuwa
sio lazima mwanafunzi aanze ku apply nafasi za vyuo vikuu vya nje pale
matokeo yanapotoka, anaweza kuapply hata sasa. Msikilize Mkurugenzi wa
Global Education Link kufahamu zaidi.

Mastaa walivyoguswa na kifo cha Ivan mume wa zamani wa Zari

Siku chache baada ya kuwepo taarifa za kuugua ghafla kwa Ivan Semwanga
a.k.a Ivan the Don, mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na mzazi mwenza
wa mrembo Zari The Boss Lady, leo May 25, 2017 imeelezwa kuwa tajiri
huyo kijana amefariki dunia.