BREAKING NEWS: Ndesamburo hatunaye

Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo amefariki dunia mapema leo, endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi

Wabunge upinzani wamshangilia Mbunge wa CCM Bungeni

Mkutano wa Saba wa Bunge umeendelea tena Dodoma ambapo May 30, 2017 ilikuwa siku ambayo Wabunge walikuwa wanawasilisha maoni yao katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma ‘CCM’ ambaye aliikosoa Bajeti ya Wizara hiyo akiomba ifanyiwe marekebisho.

Investing in Tanzania (Word on the Street)

Vox pop opinions from the public on what is the general investment atmosphere in Tanzania and what is the understanding on IPOs

Watanzania watatu watajwa Jarida la Forbes Under 30 Africa

Kila mwaka Jarida maarufu la Forbes ambalo hufuatilia maisha ya watu maarufu duniani na kutoa takwimu mbalimbali zikiwepo watu wanaoingiza pesa nyingi zaidi duniani, mastaa wanaoongoza kwa malipo ama wajasiriamali wa kutazamiwa.

Mwezi huu Forbes Africa limetoa list ya Wajasiriamali waafrika 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wamefanya mabadiliko makubwa kwenye sekta zao na wanafanya vizuri kama wafanyabiashara wenye umri mdogo. Mrembo Jokate Mwegelo, Lavie Makeup na Godfrey Magila wametajwa kwenye jarida hilo kama wajasiriamali wakutazamwa.

"Nitawashangaa wanaomshangaa Waziri Mwijage" - Lema

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema 'CHADEMA', leo May 30, 2017 alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na kuchangia Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo alisema Serikali imeshindwa kutoa tafsiri sahihi ya Tanzania ya Viwanda.

Jerry Muro ana Majina Ya Wabunge Waliohongwa Sakata la Mchanga wa Madini

Jerry Muro ana Majina Ya Wabunge Waliohongwa Sakata la Mchanga wa Madini. Asema walikuwa wanawabebea mabegi wawekezaji na kisha kuhongwa

Mrema afunguka alichofanya Magufuli kwenye Mchanga wa Madini

Mrema afunguka alichofanya Magufuli kwenye Mchanga wa Madini.

Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labor Party where he was made the Party Chairman. Tanzania Labour Party (TLP) party. He served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by Hon. James Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mr. Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board

Walichokisema Wananchi wa Mkuranga Kufuatia Kamanda Sirro Kuapishwa kuwa...

Kufuatia kuapishwa kwa IGP Simon Sirro, wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani, wameelezea hisia zao kuhusu uteuzi huo uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli wa kumteua mkuu huyo mpya wa polisi.

Mama Aliyeolewa na Mchungaji Mshirikina na Kupitia Mateso Magumu

MATAJIRI Wafanya KUFURU kwenye Kaburi la IVAN

Baadhi ya MATAJIRI Wakubwa Nchini Uganda ambo pia walikua Marafiki wa Karibu wa Marehemu Ivan Ssemwanga Wamwaga Pombe na Pesa kwenye Kaburi la IVAN wakati wa Mazishi yake.

Mchekeshaji Eric Omondi alivyovamia stage kucheza SALOME na Diamond

Mchekeshaji staa wa Kenya Eric Omondi alikuwa mmoja wa kivutio katika Tamasha la Koroga Festival lililofanyika Nairobi Kenya May 28, 2017 baada ya kuvamia stage na kuanza kucheza wimbo wa Salome sambamba na staa wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye alikuwa anatumbuiza akiwa na Band yake kwenye tamasha hilo.

EXCLUSIVE: Steve Nyerere afunguka tofauti yake na Mama Wema Sepetu

Muigizaji mkongwe wa Filamu Tanzania Steve Nyerere amekaa na Ayo TV na millardayo.com ambapo kati ya mambo aliyozungumza ni kuhusu kuyaweka pembeni mambo yote yaliyotokea baina yake na Mama yake Wema Sepetu

YOUNG DEE asema jambo kuhusu AMBER LULU, amkana TUNDA

Baada ya Young Dee Kummwaga, Amber Lulu Afunguka Jinsi Alivyoteseka Kima...

Penzi la Young Dee na Amber Lulu limevunjika lakini bado mwanadada huyo analiwewesekea penzi la mkali huyo wa Bongo Bahati Mbaya ambapo amefunguka kwamba alimpenda sana na hakutegemea kama watamwagana mapema kiasi hicho

Breaking News: IGP Sirro Apiga Mkwara Mzito Mauaji ya Mkuranga, Asema Ub...

IGP Simon Sirro amewachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari kwenye silaya za Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao zinahesabika.
Akizungumza na waandishi wa habari, kamanda Sirro amesema

Chameleone, Bobi Wine waeleza walivyoguswa na kifo cha Ivan

Watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa muziki wa Uganda walikuwa ni sehemu ya waliohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu nchini humo Ivan Don ambaye amezikwa May 30, 2017 kwao Kampala.
Miongoni mwa mastaa wa Muziki kutoka Uganda ambao Ayo TV na millardayo.com imekutana nao kwenye msiba huo ni Jose Chameleon na Bobi Wine ambao hawakusita kueleza hisia zao juu ya msiba huo

Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Bambo, Global TV Yamuibukia Usiku

Msanii wa vichekesho, Dickson Makwaya 'Bambo', anafahamika sana katika medani ya komedi Bongo, lakini ni wangapi wanaojua maisha yake halisi? Basi Global Tv Online ilimtimbia mpaka Kigogo Mbuyuni jijini Dar es Salaam nyakati za usiku na kujionea maisha yake halisi anayoishi.

LIVE: Kama Umewahi Kula Kuku Dar Basi Video Hii Inakuhusu

Global TV imeamua kukuleta exclusive interview na wafanyabiashara wa kuku wanaopatikana Shekilango jijini Dar Es Salaam, kupitia Interview hii utaweza kujua wapi wanapopatikana kuku hao na pia huduma wanazopewa na hata maandalizi kabla hawajamfikia mteja, pamoja na majibu ya baadhi ya maswali ambayo watumiaji wengi wa kitoweo hicho cha kuku hujiuliza.

DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA SABABU ZA KUTO HUDHURIA MAZISHI YA IVANDON

Mambo Sita ya Serukamba kuhusu Wizara ya Fedha 2017/18

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni May 30, 2017 kuwasilisha Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo amependekeza mambo sita ya kufanyiwa kazi.