Aslay: Sasa Hivi Kila Mtu Atafanya Kazi Kivyake, Mkubwa Fella Kashatubar...

Kesi iliyoamuliwa Mahakama Kuu Tanzania imetwaa Tuzo ya Dunia

July 08 2016 Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu kukubali kwamba vifungu vya 13 na 17 vya Sheria ya Ndoa vinapingana na Katiba ya nchi kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume...good news ni kwamba kesi hiyo imeshinda Tuzo ya Dunia

Huduma ya matibabu ambayo sasa utaipata TZ na si nje ya nchi tena

Serikali ya TZ imekuwa ikipeleka wagonjwa 14 kwa mwaka kwa ajili upasuaji na upandikizaji wa vifaaa vya usikivu na gharama yake ni milioni 80 hadi 100 kupandikiza kifaa kwa mtoto mmoja. Sasa Good News ni kwamba huduma hiyo imeanza kutolewa Rasmi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Msiba wa Ndesamburo; Povu la Gwajima kwa RC Mrisho Gambo Laanzisha 'Vita'

Mwili wa aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi Mjini mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo Tar 5 Juni 2017 katika viwanja vya Majengo na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wamehudhuria, alikuwepo askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima ambapo alipopata furasa ya kuzungumza alianza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrsho Gambo kwa kile alichodai kuwa hakuwa sahihi kabisa kuzuia eneo lililokuwa limepangwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu

BREAKING: Maamuzi ya Halima Mdee na Bulaya baada ya kutupwa nje ya Bunge...

Jumatatu June 5, 2017 iliripotiwa taarifa za kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hadi Bunge la Bajeti 2018/2019 Halima Mdee na Ester Bulaya, AyoTV na millardayo.com zimewapata Wabunge hao.

BREAKING: Maamuzi ya Halima Mdee na Bulaya baada ya kutupwa nje ya Bunge...

Jumatatu June 5, 2017 iliripotiwa taarifa za kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hadi Bunge la Bajeti 2018/2019 Halima Mdee na Ester Bulaya, AyoTV na millardayo.com zimewapata Wabunge hao.

Lissu Apinga Adhabu ya Mdee na Bulaya

MWANZO-MWISHO: IGP Sirro aenda Kibiti na Mkuranga

Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na wazee wa maeneo hayo.

Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa.

Niliahidi kukusogezea wasanii wapya kila wiki, Unahitaji kumsikia Topher...

Ni ahadi yangu kukusogeza karibu na vipaji vipya kila wiki kwenye AyoTV Entertainment na Leo June 8 tupo na TopherJaxx.

U HEARD; HARMONIZE KUCHUKUA VITU VYAKE VYOTE KWA JACLINE WOLPER KISA DEM...

“Kokoro ya Mavoko, Diamond imenitenganisha na Alikiba” – Abydad

Story ambayo ilikuwa gumzo miezi michache iliyopita ni kuhusu Producer Abydad kutoendelea kufanya kazi tena na mwimbaji staa Alikiba licha ya kumtayarishia hit songs kadhaa kama vile Chekecha na Aje ambazo zinafanya vizuri hadi leo.

Mwinyi, Kikwete, Membe waongoza mamia ya watu kumzika Cisco Mtiro

Ujerumani na China kushirikiana zaidi

Ujerumani na China zakubaliana kupanua wigo wa mahusiano, Rais Donald Trump aamua kuiondoa Mrekani kwenye mkataba wa paris wa mabadiliko ya tabianchi na Kenya yaadhimisha miaka 54 ya kujitawala. Papo kwa Papo:01.06.2017

Trump asababisha maandamano makubwa Marekani kwa kuukataa mkataba wa tab...

Wakimbizi 44 wafariki jangwa la Sahara kwa kiu kikali,na Tume ya uchaguzi Rwanda yabadili kibao baada ya kukaliwa kooni na wapinzani na wanadiplomasia wakigeni

Breaking: MBOWE AFUNGUKA HAYA AWEKA UKWELI BAYANA BAADA KUVUJA CLIP YA M...

SIMON SIRRO LAWAMANI KWA KWA MAUAJI YA NDUGU WA FAMILIA

Wolper ampiga dongo mzungu wa Harmonize, asema ana mdomo mkubwa

IMEVUJAA: Sikiliza Namna Mchezo Mzima Ulivyofanyika Kuigiza Sauti ya Wem...

HUKUMU YA HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA BUNGENI

Msaada wa Magari na Bilioni 110 alizokabidhiwa Rais JPM Ikulu leo

Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Ibrahim Al Najem na kushukuru kwa kutoa mkopo wa Tsh. Bilioni 110 za ujenzi wa barabara KM 85 Chaya - Nyahua, Tabora.

Rais Magufuli ametoa shukrani na kupokea msaada wa magari mawili ya kubebea taka ngumu yenye thamani ya Dola 200,000/- yaliyotolewa na Serikali ya Kuwait.