Kesi iliyoamuliwa Mahakama Kuu Tanzania imetwaa Tuzo ya Dunia
July 08 2016 Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu kukubali kwamba
vifungu vya 13 na 17 vya Sheria ya Ndoa vinapingana na Katiba ya nchi
kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa
kiume...good news ni kwamba kesi hiyo imeshinda Tuzo ya Dunia
Huduma ya matibabu ambayo sasa utaipata TZ na si nje ya nchi tena
Serikali ya TZ imekuwa ikipeleka wagonjwa 14 kwa mwaka kwa ajili
upasuaji na upandikizaji wa vifaaa vya usikivu na gharama yake ni
milioni 80 hadi 100 kupandikiza kifaa kwa mtoto mmoja. Sasa Good News ni
kwamba huduma hiyo imeanza kutolewa Rasmi Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Msiba wa Ndesamburo; Povu la Gwajima kwa RC Mrisho Gambo Laanzisha 'Vita'
Mwili wa aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge
mstaafu wa jimbo la Moshi Mjini mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo Tar
5 Juni 2017 katika viwanja vya Majengo na kuhudhuriwa na maelfu ya
wakazi wa Moshi na viongozi mbalimbali wa CHADEMA wamehudhuria,
alikuwepo askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima
ambapo alipopata furasa ya kuzungumza alianza na Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, Mrsho Gambo kwa kile alichodai kuwa hakuwa sahihi kabisa kuzuia
eneo lililokuwa limepangwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa
marehemu
BREAKING: Maamuzi ya Halima Mdee na Bulaya baada ya kutupwa nje ya Bunge...
Jumatatu June 5, 2017 iliripotiwa taarifa za kusimamishwa kuhudhuria
vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hadi Bunge la
Bajeti 2018/2019 Halima Mdee na Ester Bulaya, AyoTV na millardayo.com
zimewapata Wabunge hao.
BREAKING: Maamuzi ya Halima Mdee na Bulaya baada ya kutupwa nje ya Bunge...
Jumatatu June 5, 2017 iliripotiwa taarifa za kusimamishwa kuhudhuria
vikao vya Bunge kwa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hadi Bunge la
Bajeti 2018/2019 Halima Mdee na Ester Bulaya, AyoTV na millardayo.com
zimewapata Wabunge hao.
MWANZO-MWISHO: IGP Sirro aenda Kibiti na Mkuranga
Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la
Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara
yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na
wazee wa maeneo hayo.
Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa.
Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa.
Niliahidi kukusogezea wasanii wapya kila wiki, Unahitaji kumsikia Topher...
Ni ahadi yangu kukusogeza karibu na vipaji vipya kila wiki kwenye AyoTV Entertainment na Leo June 8 tupo na TopherJaxx.
“Kokoro ya Mavoko, Diamond imenitenganisha na Alikiba” – Abydad
Story ambayo ilikuwa gumzo miezi michache iliyopita ni kuhusu Producer
Abydad kutoendelea kufanya kazi tena na mwimbaji staa Alikiba licha ya
kumtayarishia hit songs kadhaa kama vile Chekecha na Aje ambazo
zinafanya vizuri hadi leo.
Ujerumani na China kushirikiana zaidi
Ujerumani na China zakubaliana kupanua wigo wa mahusiano, Rais Donald
Trump aamua kuiondoa Mrekani kwenye mkataba wa paris wa mabadiliko ya
tabianchi na Kenya yaadhimisha miaka 54 ya kujitawala. Papo kwa
Papo:01.06.2017
Trump asababisha maandamano makubwa Marekani kwa kuukataa mkataba wa tab...
Wakimbizi 44 wafariki jangwa la Sahara kwa kiu kikali,na Tume ya
uchaguzi Rwanda yabadili kibao baada ya kukaliwa kooni na wapinzani na
wanadiplomasia wakigeni
Subscribe to:
Posts (Atom)