SPOTI HAUSI: HANS POPPE WA SIMBA SC AFUNGUKA MAZITO!

GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Timu ya Soka ya Simba Sport Club, Zacharia Hans Poppe na kufunguka mengi kuangazia klabu yake na soka la bongo kwa ujumla.

Sababu za AZAM FC Kukimbia Usajili wa Mabilioni ya Pesa Msimu Huu

AZAM; Hatusajili Tena Wachezaji kwa Mabilioni ya fedha msimu huu, kauli hii imetolewa na msemaji wa Azam Jaffar Iddi ambaye amezitaja sababu za klabu hiyo kutosajili wachezaji kwa gharama kubwa kupata habari zaidi

Hans Poppe Atoa Siri Manji Alivyowaponza Yanga

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametamka kuwa kuondoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kutawapa nafuu wao.

Vijana wazalendo wampa tano Rais Magufuli

vijana wazalendo watanzania wamempongeza Rais Magufuli kwa kitendo chake cha kuzuia na kuwawajibisha viongozi walio husika katika usafirishaji mchanga wa madini

Pogba na kaka zake waikubali Zigo ya Ay na Diamond, check hapa wakiicheza

Harmonize anavyomuiga Wizkid, je nani mkali zaidi?

Salama aichambua bifu ya Diamond na Alikiba na chanzo cha Bifu

Yote aliyoyasema Rais Magufuli leo June 1 2017

President Magufuli leo alizindua mfumo wa ukusanyaji kodi kwa njia ya kielektroniki uliotengenezwa na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwenye kituo cha Taifa cha kuhifadhi kumbukumbu ( DATA CENTRE)

Serengeti Boys imemfanya Rais wa TFF kufikiria kubadili kanuni za VPL

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF leo June 2 2017 mbele ya waandishi wa habari ametangaza kuwashukuru wote waliyokuwa wanaisapoti Serengeti Boys na kuichangia licha ya kutolewa katika mashondano ya AFCON U-17 kwa kanuni ya head to head.

Malinzi ambaye ameona kigezo cha uwiano wa matokeo ndio kimetumika katika michuano ya AFCON U-17 atapendekeza katika kamati ya utendaji kanuni hiyo itumike kuanzia msimu ujao kabla ya kuanza kuitumia kanuni ya tofauti ya magoli ya kushinda na kufungwa.

Mpango utakaopunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mwendokasi

Watumiaji wa mabasi yaendayo haraka DSM wamekuwa wakikumbana na kero kubwa ya msongamano wa abiria hasa nyakati za Asubuhi jambo linalosababisha vurugu...sasa wakala wa mradi huo wameeleza mpango uliopo kutatua kero hiyo..

KING MAJUTO AMPONDA GIGY MONEY NA VICHUPI VYAKE

Gigy Money amtolea uvivu Harmorapa

pia azungumzia ujio wa Nyimbo yake mpya aliyo wachana wanaume zake wote aliopita nao

EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don

Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Diamond Platnumz amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani aitwae Ivan.

LOWASSA AMESEMA HAWEZI KUVAA TENA GWANDA LA CHADEMA.

Mh Edward Ngoyai Lowassa amesema Yeye alikuwa Mkuu Jeshini na Amepigana Vita ya Kagera hivyo hawezi tena kuvaa Magwanda ya CHADEMA.

BREAKING NEWS: Mnyika atolewa bungeni, wapinzani watoka naye

Mbunge wa Kibamba, John Mnyika umetolewa nje ya bunge kwa agizo la Spika wa Bunge, Job Ndugai.Licha ya adhabu hiyo, amemzuia kuhudhuria vikao vya bunge kwa siku saba kuanzia leo.mara baada ya kitendo hicho wabunge wote wa kambi ya upinzani wakatoka nje

MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari

Moja ya stori kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo June 2, 2017 ambayo ina-make headline ni Wabunge wa Upinzani kususia Vikao vya Bunge hatua iliyokuja baada ya agizo la Spika Job Ndugai kumsimamisha Mbunge wa Kibamba John Mnyika kutoshiriki Vikao vya Bunge kwa muda wa wiki moja kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha mbele ya Bunge na kuwaagiza Polisi kumtoa nje.

HEKAHEKA: Mume ataka kumchinja mkewe Kigoma, kisa..?

Hekaheka ya leo May 31, 2017 imetokea Kigoma ambako mwanamke mmoja amenusurika kifo baada ya kutaka kuchinjwa na mumewe kwa sababu ya wivu wa kimapenzi baada ya mwanamke huyo kusalimiana na mwanaume barabarani.

Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan.

Povu La Mhe William Lukuvi Kwa Wapima Viwanja

Waziri wa Aridhi Na Maendeleeo Ya Makazi Mhe, Willim LuKuvi Amekiagiza Chama Cha Wakala Upimaji Ardhi Kuwafukuza Mawakala Wapimaji WaSiokuwa Waaminifu Na Wanaosababisha Migogoro Ya Aridhi

Taarifa Ya Kifo Cha Muasisi Wa Chadema Philemon Kiwelu Ndesamburo