Serengeti Boys imemfanya Rais wa TFF kufikiria kubadili kanuni za VPL

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF leo June 2 2017 mbele ya waandishi wa habari ametangaza kuwashukuru wote waliyokuwa wanaisapoti Serengeti Boys na kuichangia licha ya kutolewa katika mashondano ya AFCON U-17 kwa kanuni ya head to head.

Malinzi ambaye ameona kigezo cha uwiano wa matokeo ndio kimetumika katika michuano ya AFCON U-17 atapendekeza katika kamati ya utendaji kanuni hiyo itumike kuanzia msimu ujao kabla ya kuanza kuitumia kanuni ya tofauti ya magoli ya kushinda na kufungwa.

No comments: