Breaking News: Maalim Seif Aishutumu RITA Kusajili Wajumbe Feki wa Bodi,...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif ameishutumu Wakala wa Usajili, Mufirisi na Udhamini (RITA) kwa kusajili Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CUF ambao amedao kuwa ni wajumbe feki waliotangazwa hivi karibuni na chama hicho upande wa Prof. Ibrahim Lipumba.

RITA imesajili wajumbe 'feki' wa Bodi ya Wadhamini ya CUF, hizo ni njama chafu za kuua bodi halali iliyokilinda chama. Maalim Seif.

Maalim Seif asema RITA walishinikizwa kusajili bodi feki kwa kutumia nyaraka za kughushi ili Lipumba apate uhalali wa kumuondoa madarakani.
#Global TV Online, kwa kushirikiana na TB

Diamond Platnumz Part 2 'Nilitoa Millioni 10 kumnunulia gari Q Boy (aele...

Mr Universe, Matukio Chuma Atua Bongo, Ashusha Somo kwa Vijana

Mr Universe Tanzania mwaka 2002, Matukio Chuma, amewataka vijana wa Kitanzania kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza ndani na nje ya nchi kuliko kubaki wakilalamika.
Chuma ameyasema hayo, wakati akizungumza na wanahabari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda mfupi baada ya kuwasili akitokea Marekani anakofanyia shughuli zake za uandishi wa vitabu, mashairi, ujasiriamali na uhamasishaji.
“Nashukuru kwa moyo waliouonesha baadhi ya marafiki na ndugu zangu kuja kunipokea. Ushauri na kilio changu kwa vijana wa Kitanzania ni kuthubutu kutumia fursa mbalimbali ambazo zimekuwa zikitangazwa dunianikama ambavyo mimi nilithubutu na ninaendelea kuthubutu,” alisema Chuma.

Usain Bolt ajitayarisha kustahafu Ogusti,2017

Mwanariadha mashuhuri Usain Bolt bingwa wa dunia wa mita 100 na 200, ameanza kuwaaga mashabiki wake kabla ya kustahafu wakati wa mashindano ya riadha duniani mjini London Ogusti 5 hadi Ogusti 13, 2017.

Saudi Arabia yabadili safu ya urithi wa kiti cha Ufalme

Mmoroco mwenye umri wa miaka 36 ametajwa kuwa mshukiwa alieripua begi lililojaa misumari na chupa za gesi katika kituo kikuu cha treni mjini Brussels, Ubelgiji.Mawaziri wengine wa serikali ya rais Emmanuel Macron wamejiuzulu nchini Ufaransa. Waziri wa sheria Francoise Bayrou na wa masuala ya Ulaya Marielle de Sarnez wamejiuzulu ili kutoa nafasi kwa rais Macron kusafisha siasa za Ufaransa.Mfalme wa Saudi Arabia Salman amefanya mabadiliko katika safu ya warithi wa kiti cha ufalme na kumteuwa mwanae Mohammed bin Salman aliekuwa naibu mrithi wa kiti hicho kuwa mrithi kamili.

Mtanzania wa kwanza kulipiwa ada ya milioni 365 kusoma Marekani

Ni Mtanzania wa kwanza kupata udhamini wa masomo (Scholarship) ya heshima kusoma chuo kikuu cha biashara Marekani Stanford Graduate School of Business ya dola 160,000 ambazo ni zaidi ya milioni 365 za Tanzania.

Kufungwa kwa Mtanzania Uingereza, Sheria inasemaje?

Siku chache baada ya kuwepo kwa taarifa za Mtanzania Omega Mwaikambo ambaye anaishi Uingereza kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela nchini humo kwa kupost kwenye Facebook mabaki ya mtu aliyeungua moto kwenye ajali ya moto ulioteketeza ghorofa la Grenfell Tower Ayo TV imemtafuta Jebra Kambole ambaye ni Wakili wa kujitegemea ili kufafanua zaidi juu ya tukio hilo kulingana na sheria…

Gigy Money - Wema Sepetu Hana Uzuri Wowote, Amber Lulu Anajichubua, Rich...

Teknorojia Ya Kwanza Kuchota Maji Kwa Kadi

FULL VIDEO: Mbunge wa Ukonga Waitara alivyotolewa Bungeni

Mabeste, Lisa na mastaa wa nje kuutangaza Utalii wa Tanzania

Mwimbaji kutoka Bongoflevani Mabeste na mke wake Lisa 'Mama Kedrick' wameelezea mipango yao kuhakikisha wanakuwa sehemu ya kuutangaza Utalii wa Tanzania hasa baada ya siku za hivi karibuni kushuhudia mastaa kadhaa wa soka Duniani wakitembelea Tanzania ambapo kupitia project ya PIGA KAMBI wana mpango wa kuwaleta mastaa wakubwa kama Beyonce na Rihanna ili kuutangaza Utalii.

Dokii Afunguka Mahusiano Yake na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

MCL Matukio: Utafiti wa Twaweza waonesha idadi ya wanaomkubali JPM, cham...

Afya Microfinance Project Inavyonufaisha Sekta za Afya Vijijini

Afya Microfinance Project kwa udhamini wa UK AID wameamua kutoa misaada kwa wakazi wa vijijini ambao wamekuwa wakisumbuliwa na hata kupoteza maisha kwa ugonjwa wa Malaria, Je, ungependa kujua ni kwa njia gani misaada hiyo inatolewa? itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe

Mshindi wa Quran Tukufu Africa

Mashindano makubwa ya Afrika ya kuhifadhi na kusoma Quran Tukufu yaliyokuwa yakifanyika tangu Uwanja wa Taifa tangu asubuhi, yamemalizika kwa washiriki kumaliza kusoma, ikisubiriwa majaji kumtangaza mshindi

BREAKING: Ajali ya basi imeua watu watatu Hydom Manyara leo

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.

Hekaheka iliyotokea mbele ya Makamu wa Rais leo June 16, 2017

June 16, 2017 imetokea Viwanja vya Shule ya Msingi Kinyerezi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilaya ya Ilala ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.