Idadi ya watoto wanaofariki Tanzania kwa kukosa lishe bora
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr. Charles Tizeba yupo Kagera kwenye
Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ambapo amesema kuwa takwimu
zinaonesha zaidi ya watoto 130 hufariki kila siku Tanzania kutokana na
lishe duni.
Idadi ya watoto wanaofariki Tanzania kwa kukosa lishe bora
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr. Charles Tizeba yupo Kagera kwenye
Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ambapo amesema kuwa takwimu
zinaonesha zaidi ya watoto 130 hufariki kila siku Tanzania kutokana na
lishe duni.
Mambo matano kutoka Azam FC baada ya cheo cha CEO kufutwa
Jana June 1 2017 club ya Azam FC itangaza rasmi kumalizana na aliyekuwa
afisa mtendaji Mkuu wa club hiyo Saad Kawemba (CEO) kutokana na mkataba
wake kumalizika, walitangaza kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa club na
utawala lakini afisa habari wa club hiyo Jafari Idd kaongea na
wanahabari leo.
SPOTI HAUSI: HANS POPPE WA SIMBA SC AFUNGUKA MAZITO!
GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI,
kimeongea EXCLUSIVELY na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Timu ya Soka
ya Simba Sport Club, Zacharia Hans Poppe na kufunguka mengi kuangazia
klabu yake na soka la bongo kwa ujumla.
Sababu za AZAM FC Kukimbia Usajili wa Mabilioni ya Pesa Msimu Huu
AZAM; Hatusajili Tena Wachezaji kwa Mabilioni ya fedha msimu huu, kauli
hii imetolewa na msemaji wa Azam Jaffar Iddi ambaye amezitaja sababu za
klabu hiyo kutosajili wachezaji kwa gharama kubwa kupata habari zaidi
Hans Poppe Atoa Siri Manji Alivyowaponza Yanga
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametamka
kuwa kuondoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kutawapa
nafuu wao.
Vijana wazalendo wampa tano Rais Magufuli
vijana wazalendo watanzania wamempongeza Rais Magufuli kwa kitendo chake
cha kuzuia na kuwawajibisha viongozi walio husika katika usafirishaji
mchanga wa madini
Yote aliyoyasema Rais Magufuli leo June 1 2017
President Magufuli leo alizindua mfumo wa ukusanyaji kodi kwa njia ya
kielektroniki uliotengenezwa na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwenye
kituo cha Taifa cha kuhifadhi kumbukumbu ( DATA CENTRE)
Serengeti Boys imemfanya Rais wa TFF kufikiria kubadili kanuni za VPL
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF leo June 2 2017 mbele ya
waandishi wa habari ametangaza kuwashukuru wote waliyokuwa wanaisapoti
Serengeti Boys na kuichangia licha ya kutolewa katika mashondano ya
AFCON U-17 kwa kanuni ya head to head.
Malinzi ambaye ameona kigezo cha uwiano wa matokeo ndio kimetumika katika michuano ya AFCON U-17 atapendekeza katika kamati ya utendaji kanuni hiyo itumike kuanzia msimu ujao kabla ya kuanza kuitumia kanuni ya tofauti ya magoli ya kushinda na kufungwa.
Malinzi ambaye ameona kigezo cha uwiano wa matokeo ndio kimetumika katika michuano ya AFCON U-17 atapendekeza katika kamati ya utendaji kanuni hiyo itumike kuanzia msimu ujao kabla ya kuanza kuitumia kanuni ya tofauti ya magoli ya kushinda na kufungwa.
Mpango utakaopunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mwendokasi
Watumiaji wa mabasi yaendayo haraka DSM wamekuwa wakikumbana na kero
kubwa ya msongamano wa abiria hasa nyakati za Asubuhi jambo
linalosababisha vurugu...sasa wakala wa mradi huo wameeleza mpango
uliopo kutatua kero hiyo..
Gigy Money amtolea uvivu Harmorapa
pia azungumzia ujio wa Nyimbo yake mpya aliyo wachana wanaume zake wote aliopita nao
EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don
Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Diamond Platnumz
amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala
Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani aitwae
Ivan.
LOWASSA AMESEMA HAWEZI KUVAA TENA GWANDA LA CHADEMA.
Mh Edward Ngoyai Lowassa amesema Yeye alikuwa Mkuu Jeshini na Amepigana
Vita ya Kagera hivyo hawezi tena kuvaa Magwanda ya CHADEMA.
BREAKING NEWS: Mnyika atolewa bungeni, wapinzani watoka naye
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika umetolewa nje ya bunge kwa agizo la Spika
wa Bunge, Job Ndugai.Licha ya adhabu hiyo, amemzuia kuhudhuria vikao
vya bunge kwa siku saba kuanzia leo.mara baada ya kitendo hicho wabunge
wote wa kambi ya upinzani wakatoka nje
MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari
Moja ya stori kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo June 2, 2017 ambayo
ina-make headline ni Wabunge wa Upinzani kususia Vikao vya Bunge hatua
iliyokuja baada ya agizo la Spika Job Ndugai kumsimamisha Mbunge wa
Kibamba John Mnyika kutoshiriki Vikao vya Bunge kwa muda wa wiki moja
kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha mbele ya Bunge na kuwaagiza
Polisi kumtoa nje.
Subscribe to:
Posts (Atom)