Wakati Ushuru Magari Umefutwa Bei Ya MaFuta Na Vinjwaji Vyapaa Juu

Kitu RC Mgwhira ameahidi alipowasili Ofisi za CCM Kilimanjaro

Siku mbili baada ya kuapishwa na JPM, Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amewasili Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro kusalimiana na Viongozi wa chama hicho ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumza ni kuisimamia Ilani ya CCM, kushirikiana na wananchi pamoja na kusimamia mambo ya kijamii.

Asha Baraka ataja wasanii wanaoutaka Ubunge, Udiwani 2020

Ndoto za wanamuziki kuingia kwenye siasa wakitaka kuzitumikia jamii zao kwa namna nyingine zinazidi kushika kasi kila siku ambapo leo June 9, 2017 Mkurugenzi wa Aset inayomiliki Bandi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ‘CCM’, Asha Baraka amekaa na Ayo TV na millardayo.com na amewataja wasanii ambao wanatamani kuwa Madiwani na Wabunge…

Mwigulu, Mikutano ya hadhara haijazuiwa, imewekewa utaratibu

Hatimaye wakazi wa Lindi na Mtwara wafikiwa na huduma ya maji safi

Exclusive; R.O.M.A Mkatoliki Karudi, Makamuzi Yanaendelea, Sasa Yupo Fit...

LAZIMA USTAAJABU YA BUNGE KWENYE HILI LA LEO

EWURA kuhusu kuongezwa muda wa leseni ya IPTL

Leo June 8, 2017, kituo cha Sheria na Haki za Binadamu 'LHRC' kimetoa tamko kupinga hatua ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji 'EWURA' kupokea na kutangaza kusudio la kuiongezea leseni ya uzalishaji umeme kampuni ya Independent Power Tanzania Limited 'IPTL'.

Deni La Taifa Laongeza Kwa % 9.2

Serikali Imewasilisha Bungeni bajeti Kuu kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 Ambapo Miongoni mwa vipaumbele ni katika kukuza Uchumi wa Viwanda,kufungamanisha Uchumi na maendeleo ya Watu,kujenga Mazingira Wezeshi Kwa Uendeshaji Biashara na Uwekezaji Huku Ikiweka Msisitizo Katika Kusimamia Mfumo wa Kodi,Ada na Tozo mbalimbali

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango Amewasilisha Bungeni Mapendekezo Ya Serikali Kuhusu Makadirio Ya Mapato na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2017/18 Ambapo Deni La Taifa Limeongezaka Kwa Asilimia 9.2 Kutoka Kiasi Cha Shlingi Bilioni 39. Ada bilinion 42 Ongezeko ili linatokana Mikopo Mpya Na Yazamani Na Mipya Na Limbikizo La Riba Pamoja Na Kushuka Kwa Thamani Ya Dola Ya Marekani.

TOKA IKULU: MAGUFULI AMCHANA LISSU - ALIAMSHA DUDE KWA WAPINZANI ASEMA H...

Serikali Yawatoa Hofu Wafanya Biashara

Kufatia Malalamiko Ya Wabunge Wakati Wa Mjadala Wa Bajeti Ya Wizara Ya Fedha Ambapo Kulikuwa Na Malalamiko Kuwa Sekta Binafsi Imekuwa Ikiporoma Kwa Kasi Serikali Imewatoa Ofu Wafanya Biashara Nchi Kufatia Matamko Ya Baadhi Ya Viongozi Jambo Lilizua Hofu Kwa Wafanya Biashara

Akiwasilisha bajeti Ya Serikali Bungeni Mjini Dodoma Waziri Dkt Mpango amesema Ametoa Wito Kwa Wafanya Biashara Wafanye Biashara Bila Hofu Kwa Kufata Kanuni Taratibu Na Sheria Za Nchi

Waziri Mpango kuhusu Serikali kufuta kodi za magari

Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango aliwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo kati ya vitu vilivyoshangiliwa zaidi na Wabunge kwenye Bajeti hiyo ni pamoja na kufuta kodi za magari barabarani yaani Road License

Vita inayoendelea kati ya FARDC na waasi nchini DRC.

Austere Malivika yuko katika uwanja wa mapambano huko DRC ambapo anatutaarifu hali inayoendelea wakati mapambano yakiendelea baina ya jeshi la DRC FARDC na wapinzani. Hivi leo kundi la waasi wa maimai limechoma kambi ya jeshi ya FARDC lakini mapambao yanaendelea

Bunge la Iran lashambuliwa na watu 12 kuuawa

Shambulizi katika bunge la Iran lawaua watu 12. Kampeni Uingereza zakamilika leo kabla uchaguzi mkuu kesho Alhamisi. DRC yakubali uchunguzi wa pamoja dhidi ya mauaji ya wataalamu wa UN na raia wa Kasai. Trump ajiingiza katika mgogoro wa kidiplomasia unaoikumba Qatar. Papo kwa Papo 07.06.2017

Harmorapa akijitetea skendo yakuvaa gauni la boss wake ili aimbe nakuche...

Msanii Harmorapa ambaye sasa ana 'trend' na moja ya video ikimuonyesha akicheza wimbo akiwa amevaa gauni amefunguka na kusema yeye hajavaa gauni la bosi wake kama ambavyo watu wanadai bali yeye amevaa nguo ya kawaida katika video hiyo.

Harmorapa amesema kuwa yeye alifanya 'cover' ya kitu alichofanya Alikiba kwa kuimba wimbo wa 'Brenda Fassie' na kwa kuwa yeye anamkubali sana msanii huyo alivutiwa naye na ndiyo maana aliamua kufanya na yeye.

"Unajua mimi namkubali sana Alikiba hivyo nilivyoona amefanya kitu kile na mimi nikasema ngoja nifanye kama 'Cover' ila sikuvaa gauni la bosi wangu wala sikuvaa gauni mimi naona niliva mavazi ya kawaida tu, labda nyinyi ndiyo mnaona gauni lakini kwangu mimi ile ni nguo tu ya kawaida" -Harmorapa.